“Kamwambie” - Diamond Platnumz

Kamwambie - Diamond Platnumz

➧Diamond Platnumz


Plays : 173,940
Downloads : 301,864
Album (All Songs) :

Like us on Facebook:

“Kamwambie” Lyrics

[Chorus]
Nenda kamwambie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi

[Verse 1]

Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
Kwa vile mali yake yeye
Natamani la tatizo siwezi
Uenda ingefanya nielewe
Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie
Akianidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri nimwimbie
So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Akalishusa tamani penzi nalompenda, kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh

[Repeat Chorus]

[Verse 2]

Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi hyana tamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi watamani
Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea
Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema nawombea
So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Akalishusa tamani penzi nalompenda, kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh
Akamwambie (8x)
Repeat Chorus till fade
Yeah, I was being around, but thanks, Bob Junior
Mr Chocolate Flava, now I am here
Sharoboo records
It's Diamond Platinumz baby

Like Diamond Platnumz's “Kamwambie”? leave A Comment

This Week's Most Popular